ABOUT BONGO

Maisha Magic Bongo ni chaneli ya burudani ya Kitanzania. Inapeperushwa angani katika chaneli ya DStv 160. Chaneli yetu ilianzishwa kwa niaba ya watazamaji wa Tanzania wanaopata Maudhui mapya na fursa ya kuwapa soko wazalishaji, waigizaji na wakurugenzi wa Tanzania.

Chaneli hii inalenga watu wote wenye umri wa miaka kumi na tatu (13) hadi miaka sabini (70) na zaidi. Tunawaletea filamu, tamthilia, vipindi vya tamthilia mfululizo, vipindi vya upishi, desturi za Watanzania, muziki na kadhalika. 

Tembelea tovuti yetu kupata habari Zaidi!

Read more
SUBMIT A SHOW IDEA TO MAISHA MAGIC BONGO
CLICK HERE

TV Guide

Chaneli
#
160
20:00
20:30
21:00
21:30
22:00
22:30
23:00
23:30
00:00
00:30
01:00
01:30
02:00
02:30
03:00
03:30
04:00
04:30
05:00
05:30
06:00
06:30
07:00
07:30
08:00
08:30
09:00
09:30
10:00
10:30
11:00
11:30
12:00
12:30
13:00
13:30
14:00
14:30
15:00
15:30
16:00
16:30
17:00
17:30
18:00
18:30
19:00
19:30
20:00
20:30

MpyaJirani

20:25

Familia yenye ukarimu kwa majirani zao, upole wao unawsababishia misukosuku hadi mauti, yote kwa sababu ya wivu wa jirani.

MpyaMunira

22:15

Munira binti aliyeishika sana dini yake ya kislamu, anajikuta katika wakati mgumu baada ya kutokea kumpenda mtu tofauti na matakwa ya dini yaje na...

MpyaMunira

23:14

Munira binti aliyeishika sana dini yake ya kislamu, anajikuta katika wakati mgumu baada ya kutokea kumpenda mtu tofauti na matakwa ya dini yaje na...

MpyaMaumivu

00:25

Dauglas ni askari alieamua kusimamia upande wa haki, jitiada zake zinapelekea kifo cha mama yake na mtoto wake, Maisha ya binti yake yakiwa hatarini.

MpyaMaumivu

01:26

Dauglas ni askari alieamua kusimamia upande wa haki, jitiada zake zinapelekea kifo cha mama yake na mtoto wake, Maisha ya binti yake yakiwa hatarini.

MpyaUwoga

02:35

Bozo akijaribu kumuokoa Munira kutoka katika mikono ya baba mkwe wake, anafariki dunia na kumuacha...

MpyaUwoga

03:20

Bozo akijaribu kumuokoa Munira kutoka katika mikono ya baba mkwe wake, anafariki dunia na kumuacha Bozo akiwekwa hatiani kwa kifo chake.

MpyaMke Wa Mtu Sumu

04:15

Muhogo anafanya a kila kinachowezekeana ili kulipiza kisasai kwa mwanaume yotote aliye jaribu kumtongoza na mke wake kwa namna yoyote ile.

MpyaMaji Ya Shingo

06:00

Marafiki wawili wanajikuta katika vita kisa tamaa za pesa na mali, yote ni kwa ni kwa sasbabu mmoja wao hakuweza kukaa kimya kuhusu mafanikio yake.

MpyaMaji Ya Shingo

07:23

Marafiki wawili wanajikuta katika vita kisa tamaa za pesa na mali, yote ni kwa ni kwa sababu mmoja wao hakuweza kukaa kimya kuhusu mafanikio yake.

MpyaDays Of Night

08:40

Binti mrembo Lisa anajikuta akiangukia katika penzi la bosi wake Jerry mwenye siku 90 tu za kuishi, Jerry analazimika kutoa maamuzi magumu.

MpyaKijiji Kwa Kiwambo

11:05

Katika safari ya kutafuta utajiri, anashauriwa kwenda kwa mganga masharti anayokutana nayo ni ya kuuwa watu anafanikiwa lakini safari hii anajikuta...

MpyaKijiji Kwa Kiwambo

12:08

Katika safari ya kutafuta utajiri, anashauriwa kwenda kwa mganga masharti anayokutana nayo ni ya kuuwa watu anafanikiwa lakini safari hii anajikuta...

MpyaDoli Armaanon Ki

13:00

'S5/E2'. Urmi sasa yupo katika ungwe nyingine ya maisha yake, mambo yake yanamyokea huku Samarat yeye sasa amegeuka tapeli tena wa wanawake. Ishana...

Maelezo zaidi

MpyaDoli Armaanon Ki

14:00

'S5/E3'. Urmi sasa yupo katika ungwe nyingine ya maisha yake, mambo yake yanamyokea huku Samarat yeye sasa amegeuka tapeli tena wa wanawake. Ishana...

Maelezo zaidi

MpyaChallenge

15:00

Mark anapoteza kila kitu na kujikuta katika wakati mgumu baada ya kilazimika kufanya vitendo vya...

MpyaChallenge

15:45

Mark anapoteza kila kitu na kujikuta katika wakati mgumu baada ya kilazimika kufanya vitendo vya kikatili ili kumuokoa mke wake.

MpyaMwali Wa Kijiji

16:35

Fahala ni binti mrembo sana kijijni kwao, lakini baba yake hataki kabisa kuona mwanaume yoyote akimkaribia Fahal. Bilali anadhamiria kumtolea posa Fahal

MpyaMwantumu

18:30

'S1/E10'. Kaboba ni kijana mtanashati alipenda sana teknolojia na mabinti. Kudekezwa kwake na babu...

Maelezo zaidi

MpyaStupid Father

19:00

Baba tena msomii anaye mdekeza sana binti yake, anaonywa na mke wake kuhusu malezi yake anakuwa mkali, anakuja kutambua makosa yake binti amesha haribikiwa.

VIDEOS

Channels